Pictures : ZE COMEDY WAIBUKA NA JINA JIPYA!...

14 years ago

  • ZE COMEDY
  • KIKUNDI CHA ZE COMEDY KAMA KILIVYOKUWA KIKIJULIKANA , KIMEANZA TENA SHUGHULI ZAKE ZA KUTOA BURUDANI KWA NJIA YA VICHEKESHO, NA SASA INATUMIA JINA LA ORIJINO KOMEDI, SAFI SANA..NATUMAINI BOBD77 UNAFUATILIA KWA KARIBU ZAIDI.
    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up