Wengi majina yao yanaandikwa kwenye kitabu cha uzima, wewe je?
Maelfu ya watu wanaokoka lakini yawezekana wewe haumo kwenye orodha hiyo, unadhani ni kwanini haumo?
Burudika lakini kumbuka siku ya kiama. Amua leo umpokee dhambi zako na kmfuata Yesu.
Ni wakati wa kumpa YESU maisha yako maana kesho huijui itakuwaje.
Wengi wanatamani mahubiri kila siku, wewe je?
Unapoburudika, kumbuka kifo kiaja, utaenda wapi? Mpokee BwanaYesu.
YESU, muda wa kumpokea ni leo wala sio kesho, amua leo na atakuandika jina lako.
Nakushauri kumpokea BWANA YESU leo na utaona mabadiliko makuu sana.
Amhurumiaye maskini humkopesha Bwana; Naye atamlipa kwa tendo lake jema.
Burudika, lakini kumbuka siku ya kiama,tubu dhambi zako na umfuate bwana Yesu.
Pole kwa kusikiliza nyimbo hizi. Amua kiziacha na kumfwata Yesu.
Pumzi ya mwanadamu ni taa ya Bwana; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake.
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana
Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo; Miongoni mwao walao nyama kwa pupa
Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote. (1 Wakorintho 6:12)
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele. Usipo tubu na kuomba rehema, na kugeuka na kuacha njia zako mbaya.
Maelfu ya watu wanaokoka lakini yawezekana wewe haumo kwenye orodha hiyo, unadhani ni kwanini haumo?
Wengi wanatamani mahubiri kila siku, wewe je?
YESU muda wa kumpokea ni leo wala sio kesho, amua leo na atakuandika jina lako.
Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo; Miongoni mwao walao nyama kwa pupa
Usiseme masikioni mwa mpumbavu; Maana atadharau hekima ya maneno yako
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana
Amhurumiaye maskini humkopesha Bwana; Naye atamlipa kwa tendo lake jema.
Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo; Miongoni mwao walao nyama kwa pupa
Mbinguni kuna vitu millioni nyingi sana ambavyo ni vya ajabu, hatuwezi kuvielezea kwa midomo yetu.
Twendeni kwa Mungu.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.Yeyey ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu
Marehemu Husna Mapande wa 5 Stars Modern Taarab na moja ya last songs za 5 stars modern taarab.
Meeting in Heaven by Gospel Echo Singers from Perth Australia.
Dunia Tuna Pita - Samba Mapangala and Orchestra Virunga..in New York!