Loading the player...

LEO by ZOGO

  • Kenya nzima tunataka kuishi poa tugeuke watalii wa Afrika na Ulaya
    Lakini wabunge wanajali tu mishara yao, hata migingo watu waliwaachwa pekee yao
    Haya kibera twende tukango'e reli
    Labda baada ya hao ndipo watatusikiza
    Lakini polisi watatumwa na risasi ni salamu yao toka kwa kamishna Ali

    Category : Genge Videos

    #LEO#ZOGO

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up