Loading the player...

Ze Comedy - Jack Unguja

 • HUYU JAMAA NDIO YULE ALIYEMUOA DADA YAKE DAVID BECKHAM AITWAYE VICTORIA ADAM BECKHAM,ANA PESA KAMA NJUGU, KWA MAELEZO ZAIDI SOMA HAPO CHINI.
  nimecopy haya kutoka kwenye gazeti la udaku.
  Jack ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa kampuni ya kuinua vipaji vya Chipukizi wa michezo Duniani (GSB) aliripotiwa hivi karibuni kumuoa mwanamke huyo ambapo mpaka sasa wamefanikiwa kupata watoto wawili, wa kiume aitwaye Pemba Junior na wa kike ni Gracie.
  Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa pedeshee huyo, Jack amekuwa akipata jeuri zaidi ya fedha kufuatia kuoa mwanamke kutoka kwenye familia yenye neema.
  "Jack kweli ana pesa lakini jeuri ya fedha imeongezeka baada ya kumuoa yule mwanadada, si unajua anatoka kwenye familia bora na Beckham mwenyewe anaonekana kufurahia kupata shemeji kutoka Tanzania," kilisema chanzo hicho cha habari ambacho kiliomba hifadhi ya jina lake.
  Kufuatia ripoti hiyo, wapenzi mbalimbali wa soka nchini wameelezea furaha waliyo nayo huku wengine wakiwa na imani kuwa siku moja watamuona shemeji yao huyo nchini.
  "Kama Jack Pemba kamuoa dada yake Beckham lazima siku moja mwanasoka huyo galacha atatua Bongo na kulishuhudia soka la kibongo 'live'," alibashiri Julius Mushi ambaye ni mmoja wa wapenzi wa soka nchini. Na Mwandishi Wetu
  Mwanasoka maarufu duniani, David Beckham hatimaye amepata shemeji wa kibongo baada ya dada yake aitwaye Victoria Beckham kuolewa na pedeshee Jack Pemba

  Category : Videos

  #Ze#comedy#comedi#sinza#joti#mpoki#bongo#tanzania#unguja#pemba#bongo#flava#jack#pemba#unguja#mapedeshee#pdg#watoto#wa#mjini

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up