Include this script into your page along with the iframe for a responsive media embed
Hakuna upinzani kati ya wasanii wa A-town na wale wa Dar isipokuwa wasanii wa A-town wanafanya Hip-hop zaidi hivyo baadhi wasanii wa hip-hop Dar walitishika na kuzusha kuwa Wasanii A-Town wanaupinzani. Lakini hakuna kitu kama hicho.