Loading the player...

BOMU MBAGALA

  • Akielezea juu ya tukio la Bomu lililoripuka na kuua watoto wawili na kujeruhi wengine watatu leo asubuhi huko Mbagala Kizuiani, Diwani wa kata ya Kurasini Shimo la Udongo, Wilfred Kimati, ameishauri Serikali kutumia Mbwa wa Polisi na Panya maalumu waliofunzwa kutafuta mabaki ya mabomu yaliyosalia maeneo ya Mbagala ili kunusuru maisha ya wananchi wa eneo hilo. Msikilize mwenye kwenye kipande hicho cha video kama alivyoongea na media leo katika hospitali ya Temeke alikokwenda kuwaona waathirika.

    Category : News & Politics

    #BOMU#MBAGALA

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up