Loading the player...

NTVKenya- Msanii na Sanaa: Kagomaz

  • Safari ni hatua. Vijana watatu wasanii wa humu nchini walioanzisha kundi lao la muziki miaka mitano iliyopita wakijiita Kagomas wamepiga hatua sasa kwa kutoa muziki wa kusisimua pamoja na kanda za video. Kwa sasa vijana hao wametoa kanda mpya ya video waliyoitayarisha wakiwa Tanzania na kuwafanya wafanane na wasanii wa Bongo Flavor. Tunawaangazia vijana hao katika makala ya Msanii na Sanaa.

    Category : Entertainment

    #NTVKenya#Msanii#na#Sanaa#Kagomaz

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up