BONGO FLAVA BEAT

 • ilikuwa friday, niko na masela
  tukizuga zuga kwenye kona za kitaa
  tukicheck issue, tumake chapaa
  kisha tuka blaze weekend na furaha
  mara nikamuona miss, mzuri kama kells
  mrembo mwenye pozi, maraika ndani ya jeans
  sura ya furaha kila kona anangaa
  cute yuko fit kifupi yuko right
  nikasogea karibu kisha nikamuambia
  baby umependeza wapi unaelekea
  tell me ur name wapi unatokea
  ni bahati kuwa nawe kas najivunia
  naomba phone number later nitakupigia
  tukutane slip way kisha nitakuambia
  ukweli wa moyoni juu yako dia
  nimekufa nimeoza kweli nakuzimia

  Category : Audio

  #kas#milambo#2007

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up