Afande Sele Feat Ferooz - Simba Dume

  • baada ya beef ya majani na afande sele kwisha hio week ya sept 22 2010,hatimaye majani aamua kuachia ngoma ya sele inayokwenda kwa jina la simba dume,kama unakumbuka afande alikuja kitambo kwenye game kwa shavu la mr II kwenye wimbo wa sugu unaitwa afande anasema way back 90's

    Category : Bongo Flava (mp3)

    #afande#sele#ferooz#p#funk#majani#bongo#hip#hop

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up