Loading the player...

Diamond akataa kupokea hela ya Wema Sepetu kwa Steji...Kwa Hisani Ya Dj Choka

  • Mwanadada Wema Sepetu ambaye alikuwa mchumba wa Diamond katika show hii ya DIAMONDS ARE FOREVER alijikuta akipata aibu pale alipotoka kwenye kiti chake na kwenda kumtunda Diamond akiwa anaimba kwa steji na hela yake kutopokelewa na mtu mzima kuipotezea hela ile daaaaah

    Category : Entertainment

    #wema#sepetu#diamond

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up