Loading the player...

Vurugu zazuka kati ya polisi na kundi la Waislam Dar Es Salaam.

  • Vurugu kubwa zimezuka kati ya polisi na kundi la Waislamu ambao walivamia kituo cha polisi maturubai Mbagala kizuiani jijini Dar Es Salaaam kwa lengo la kushikikiza kupatiwa kijana mmoja ambaye anadaiwa kukojolea msaafu ili wamuadhibu kwa kitendo hicho.

    Category : News & Politics

    #Vurugu#polisi#Waislam#Dar#Es#Salaam#makanisa

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up