Loading the player...

Viongozi wa Uamsho wafunguliwa kesi mpya ya kuhatarisha usalama wa Taifa

  • Kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa jumuia ya Muamsho imechukua sura mpya baada ya viongozi hao kufunguliwa kesi mpya ya kuhatarisha usalama wa taifa na kujikuta wakirudishwa rumande tena huku mawakili wa watuhumiwa hao wakisusia kesi.

    Category : News & Politics

    #usalama#wa#taifa#muamsho#kesi

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up