Bongo Hip hop Mix Feb 2014 (C)Ngomanagwa

  • Hii Mix ina Ngoma zilizoachiwa ndani ya Bongo (Tanzania) mwishoni mwa mwaka Jana na Nyingi ni za Mwaka huu. Katika hii Mix utawasikia wasanii kama Umbwa Mzee aka Chindo, Nikki Mbishi, Zaiid, BouNako, Songa, Chagga Nature, Dubo Jesus, Stereo, Nash Emcee na wengine wengi. Enjoy Good Music .

    Category : DJ Mixtapes (mp3)

    #Bongo#Hip#hop#Ngomanagwa#Tanzanian#Music

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up