Bongo Radio Throwback Monday Show April 14th 2014 (C)Ngomanagwa

  • Hii ni Show ya Jana Jumatatu. Katika kipindi cha Masaa 2, Saa La kwanza lina Bongo Music ambayo Imesheheni Ngoma Kibao za Zamani na Hata zile ambazo hukupata kuzisikia na saa la Pili ni Hip hop na R&B toka Mtoni. Enjoy

    Category : DJ Mixtapes (mp3)

    #Ngomanagwa#Throwback#Monday#Show#Bongo#Radio

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up