Geez Mabovu Tribute Mix Nov 2014 (C) Ngomanagwa

  • Ukipenda unaweza kumuita MWANAMADHARAU ama BIG 4 THE GEEZ alitokea Dirty South Iringa, Tanzania. Msanii huyu aliwakilisha hip hop vizuri ndani ya Bongo na aliutendea haki mziki huu tokana na kazi zake kuwa za Nguvu na zenye mashiko hasa ukiitegea sikio sauti yake nzito kuyafanya mashairi yake uyatafakari ubongoni mwako. Geez ametuchia zawadi ya mziki wake.Tokana na maombi ya washabiki wengi nimefanya hii Mix kuuenzi muziki aliotuachia na kusema asante kwa kuiwakilisha Hip hop na Mziki wa Bongo Vema. R.I.P GEEZ MABOVU.

    Category : DJ Mixtapes (mp3)

    #Geez#Mabovu#Dirty#South#Dawg#Mwanamadharau#Big#4#the#Geez#Ngomanagwa

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up