Loading the player...

Foby Feat. Karen & IbraNation - Kitanda

 • Audio produced by C9 KANJENJE
  Video directed by Hanscana
  ___________________________________________
  *Foby Ft karen & Ibranation - Kitanda Lyrics*
  *Verse 1...*
  *Foby*
  Kama ni adhabu tu
  Inatosha nishajifunza
  Inua macho juu
  Yafute nisamehe
  Au ngoja niondeke tu
  Yakiisha utanijuza
  Mana kunakoendea
  Nahisi utaniuwa
  *Careen*
  Sasa unaenda wapi lakini
  Au ndo unarudi tena
  kule umalayani
  Hayajapowa Rohoni
  Unataka tena
  kuyapandisha kichwani
  *Foby*
  Nitakaaje na mtu haongei
  Wala makosa hayatambui
  Sura yako hainiongopei
  Acha tu nichape lapa
  *Careen*
  Nikulazimishe kubaki
  we ni nani embu kwenda huko
  Mtu mwenyewe huna hata kitu ndani
  Unachotegemea
  Kitanda x 2
  We unategemea
  Kitanda x 2
  *Foby*
  Mbona mi sitegemei
  Kitanda x 2
  Sijawahi tegemea
  Kitanda x 2
  *Chorus...*
  *Foby*
  Unataka
  Sema unataka iweje
  Kama maneno hata ya babu nishatumia bado unaniona bwege
  *Careen*
  Mi nataka
  Nijue unanichukuliaje
  Kunichanganya kwenye gongo nami bia hilo unalionaje?
  *Verse 2...*
  *Ibrahnation*
  Tangu asubuhi
  Nawasikia tu
  Ugomvi mavurugu
  Yanarudia tu
  Mnampa faida nani
  Usiri wa ndani
  Wajue mpaka majirani
  Mbona sisi ni wapangaji
  Wenzenu tunagombana
  Ila yanaishia ndani
  Kimya kimyaaaa!!!
  *Careen*
  Hayakuhusu baba
  We rudi nenda
  ukapambane na yako
  Umeruka vyumba saba
  Kama si umbeya ni nini
  *Foby*
  Unawajibu watu vibaya
  Huna hata haya
  Unajikuta we ndo kidunchaya
  Na siku yakikukuta
  Sipo utamfata nani
  Mana kila mtu ushamsutaga
  Nitakaaje na mtu hajitambui
  Hajui mwema hajui adui
  Sura yako hainiongopei
  Acha tu nichape lapa
  *Careen*
  Nikulazimishe kubaki
  we ni nani embu kwenda huko
  Mtu mwenyewe huna hata kitu ndani
  Unachotegemea
  Kitanda x 2
  We unategemea
  Kitanda x2
  *Foby*
  Mbona mi sitegemei
  Kitanda x2
  Sijawahi tegemea
  Kitandanda x2
  *Chorus...*
  *Foby*
  Unataka
  Sema unataka iweje
  Kama maneno hata ya babu nishatumia bado unaniona bwege
  *Careen*
  Mi nataka
  Nijue unanichukuliaje
  Kunichanganya kwenye gongo nami bia hilo unalionaje?
  *Foby*
  Unataka
  Sema unataka iweje
  Kama maneno
  Hata ya babu nishatumia bado unaniona bwege
  *Artist - Foby,Karen & Ibrahnation*
  *Producer - C9 kanjenje*
  *Studio - C9 Records*
  *Melody & Lyriscs - Foby*

  Category : Bongo Flava Videos

  #Foby#Karen#IbraNation#Kitanda#Bongo Flava

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up