Bi Kidude is the most famous singer in Zanzibar and the oldest in the world. The song is about the alcoholic guy in the video obviously. The language is Swahili.
This is the original music video but I cut out the two short dialogues in the middle and I restored the original audio in the scene where kids are shouting.
Traces of Omani culture are evident in this video, e.g., the guy sitting on the far left at 0:46.
----------------------------------------------------------------------------------------
Regarding the Arabic poetry that Bi Kidude starts singing at 2:56 :
كلمات أحمد رامي و غناء محمد عبد الوهاب:
أيها الراقدون تحت التراب
جئت أبكي على هوى الأحباب
كان لي في الحياة من أرتجيه
ثم ولّى والعمر فجر الشباب
كان أُنسي وكان توأم نفسي
فإذا بي في وحشة واغتراب
أين مني ضريحها أسقيه ذوب قلبي ودموعي
أيها النائمون آه لو تسمعون
يامن سعيت إليها يقودني صوت قلبي
يامن جنيت عليها هذه جناية حبي
----------------------------------------------------------------------------------------
Lyrics in Swahili:
BI KIDUDE: mimi kidude binti Baraka
(Chorus)
Kama mimi nimelewa, pesa za kwangu mwenyewe
Hakunipa baba ako, wala hukunipa wewe,
Piga ngumi ukutani wewe utauvunja mkono wee!
(Chorus)
Mimi narejea nyumbani namkuta sebuleni,
Mimi narejea nyumbani namkuta sebuleni,
Amekaa na fungu la watoto na mkono mfukoni,
Mmoja kamtoa shilingi kamrusha ukutani,
Mmoja kamtoa shilingi kamrusha ukutani,
(Chorus)
Ahmada toka udogoni jeuri sana,(jeuri sana)
Ahmada toka udogoni jeuri sana,(We Ahmada)
Kamkuta mzee na kidude kamtukana,(kamtukana)
Kavimbishwa domo na wachawi hawezi kula,(hawezi kula)
BI KIDUDE: (unknown words) @2:27. If you know it, please comment.
BI KIDUDE: (starts singing the Arabic poem)
Pombe ni shetani Ahmada x5
Bi kidude anakulilia wewe, Ahmada uache pombe
BI KIDUDE: Ahmada uache pombe
Bi kidude anakulilia wewe, Ahmada uache pombe
Unawatesa wanao na mkeo,
yote hayo sababu ya pombe
BI KIDUDE: Ahmada uache pombe
Unawatesa wanao na mkeo,
yote hayo sababu ya pombe
BI KIDUDE: Niko na wanangu, na wajukuu zangu, vilembwe vyangu, ndio mimi kidude binti Baraka
Pombe ni shetani, Ahmada
Category :
Comoro Videos
#bi#kidude#ahmada#umelewa#fan#cut