Loading the player...

Joti TV Episode 56 Mama Mkwe Van Dame

 • Joti leo amekubali kupelekwa kwa Mama Mkwe wake akatambulishe, msala ni pale anapokuta Vipande vya mtu Vinatandikwa Ngumi kama Watoto, sasa vipi akae asubiri zamu yake au Aliunge Mbio
  Staring Joti, Kipande, Mlewa, Ginia & Lulu
  Written By Edwin Musiba & Joti
  Directed by Hashim Yahya
  Edited By Omary Mgazza
  Crew : Alfred Nyirenda, Faudhia Gingi

  Category : Comedy

  #joti#tv#episode#56#mama#mkwe#van#dame

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up