Loading the player...

Kilichosababisha Kesi ya BILIONI 300 ya Rugemalira na Seth kuahirishwa tena leo

  • Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mmiliki wa IPTL, Harbinder Seth na mwenzake hadi July 19,2018 kwa sababu upelelezi haujakamilika.
    Wakili wa serikali Mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi kwamba shauri hilo limeitishwa kwa ajili ya kutajwa na upelelezi haujakamilika.

    Category : News & Politics

    #kilichosababisha#kesi#ya#bilioni#300#rugemalira#na#seth#kuahirishwa#tena#leo

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up