Loading the player...

Mwingine aliyethibitisha kupanda kwenye stage na Rose Muhando baada ya Danny M

  • Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Rose Muhando alikuwa kimya kwa zaidi ya miaka mitano sasa bila ya kutoa album yoyote tofauti na miaka ya nyuma, kitu ambacho kilipelekea mashabiki wake kumiss album ya nyimbo zake baada ya kimya hicho. Rose Muhando baada ya kimya hicho February 22 2018 ilitangazwa siku atakayoachia album yake mpya ya nyimbo za injili kuwa ni April 1 2018 siku ya sikukuu ya Pasaka katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

    Category : Gospel Videos

    #mwingine#aliyethibitisha#kupanda#kwenye#stage#na#rose#muhando#baada#ya#danny#m

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up