Loading the player...

Nadia Mukami - Si Rahisi (Official Video)

 • Send 'Skiza 8542783’ to 811 (Safaricom)
  Available on boomplay,mkito & mdundo.
  This song is dedicated to each & every artist going through battles that no one understands. The struggles of trying to be on the big stage are what makes us everything. The disappointments, the sacrifices; we are persistent even when no one is applauding!
  SI RAHISI – is a Swahili expression meaning: it’s not easy.
  We learn to trust and respect the process!
  Get In touch with Nadia Mukami on social media;
  Facebook www.facebook.com/OfficialNadi...
  Twitter twitter.com/nadia_mukami
  Instagram www.instagram.com/nadia_mukami/
  Subscribe www.youtube.com/channel/UCjXV...
  For more info/bookings
  Phone: +254 724467384 Email: guorodavid@gmail.com
  Audio Produced By: Ihaji
  Video Directed By: Nezzoh Monts (NF Films)
  Written and performed by Nadia Mukami
  © 2018 Hailemind Entertainment Company Limited. | hailemind-ent.com/
  SI RAHISI LYRICS
  (INTRO)
  Tarara tarara tara.......
  Ndoto niote eti mimi napepea....
  Maombi mniombe muziki nizidi bombea....
  Hutoweza kurekodi kama huna cha kuwapea....
  Niuze sura nione kama watainunua......
  (CHORUS)
  Si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume,
  Si rahisi kwenye twitter waseme kanadia katambe,
  Si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi,
  Si rahisi,.. si rahisii...
  VERSE 1.
  Nilifunga safari eti naanza kuimba,
  Nikajiona wa kusifiwa kama papa wemba,
  Ngoma zangu zivuke border mpaka kule pemba,
  Ujumbe nao usikike kote mpaka na wakamba,
  Ilinivunja moyo waliponifukuza studio nitoke,
  Wakanidharau familia ndugu wa toka nitoke,
  Promoter bandia kunipa show kisha jioni apotee,
  Producer chocha niimbe lingala,nazali nayo mboote
  (CHORUS)
  Si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume,
  Si rahisi kwenye twitter waseme kanadia katambe,
  Si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi,
  Si rahisi,...si rahisii...
  VERSE 2.
  Kwenye industry wanatuchesa,controversy zilete pesa,
  Eti kanadia naye yule,mara nimetemwa vilevile,
  Wengine wavume bila talanta,kwenye picha tako wamekamatwa,
  Jina tupu walishapata,je huu ni ungwana,
  Eti muziki kizungumkuti
  Ikinishinda niipige buti
  Ama nianze kucheza isukuti weeeeeeee...
  Yao beef sijazoeaga,
  Mi ni mpole wananianzaga,
  Eti sanaa nianze kuaga
  Haya maneno zilizaga
  (chorus)
  Si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume,
  Si rahisi kwenye twitter waseme kanadia katambe,
  Si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi,
  Si rahisi,...si rahisii...
  Ata nikifa leo niwe wa kusifiwa,niliishi kutamani niwe kama miriam makebaaa...
  Si rahisi nisikike ,si rahisi nivume,si rahisi nikubalike...
  (chorus)
  Si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume,
  Si rahisi kwenye twitter waseme kanadia katambe,
  Si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi,
  Si rahisi,...si rahisii... *2

  Category : Kenyan Videos

  #Nadia Mukami#Si Rahisi#Kenya

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up