Loading the player...

“Nimeondoka kama mkimbizi kwenye nchi yangu, imeniuma sana” –Bondia Mwakinyo

  • Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo aliyeibuka na ushindi ndondi baada ya kumchapa mpinzani wake raia wa Uingereza Sam Eggington katika pambano lililochezewa Birmingham, alipata mwaliko rasmi katika Bunge la Tanzania na baadae akapata nafasi ya kuzungumza na Waandishi wa Habari nje ya ukumbi wa Bunge ambapo ameelza kwa upana changamto alizopitia hadi kufika hapo.

    Category : Sports & Events

    #ldquo#nimeondoka#kama#mkimbizi#kwenye#nchi#yangu#imeniuma#sana#rdquo#ndash#bondia#mwakinyo

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up