Loading the player...

Watu 44 wamethibitika kufariki ajali ya MV Nyerere

  • Watu 44 wamethibitika kufariki dunia kwenye ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama mchana wa leo kwenye ziwa Victoria kikiwa katika safari za kila siku kikitokea Bugolora kuelekea Ukara.
    Sikiliza undani wa taarifa hiyo

    Category : News & Politics

    #watu#44#wamethibitika#kufariki#ajali#ya#mv#nyerere

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up