Include this script into your page along with the iframe for a responsive media embed
Rais John Magufuli amewataka wafanyabiashara wa korosho kuhakikisha wananunua zao hilo kwa bei isiyopungua shilingi elfu tatu kwa kilo moja na iwapo watashindwa kuafiki bei hiyo Serikali itanunua zao hilo kwa wakulima na kisha kutafuta soko litakalokuwa na bei nzuri zaidi.