Loading the player...

Tunji - Mtu Wathii (Official Video)

 • Mtu Wathii is a song about the Mtumba i.e second-hand clothes, culture that thrives in Kenya. Wathii is one of the slang names used to refer to Gikomba(One of the most popular mtumba markets in Kenya)
  Its all about looking good and feeling nice about yourself.
  Recorded at Inkverse Studios
  Mixed by Tunji
  Mastered by Tunji
  Shot by Chebeni
  1st A.C. - Roonie Caleb of Cinema Lordz
  Dressed by Back-to-Back Fashions Rongai
  Choreography by Stevo-the-Dancer
  Instrumental by FLY MELODIES.
  Special thanks to Bree, Erica and Stacey
  Lyrics
  ...
  Intro
  ...
  Eish buda hizo ni chuja gani bro?
  Gani? Hizi
  Ehhh joh ni ngori yaani!
  Ahhh Shukran buda nilizicop to jana hapa ivi kwa plug
  Ati plug?
  ...
  Hook
  ...
  Nilitoka shop, na my new balenciagas
  (new new looking fresh)
  New balenciaga
  Vokeh ndo my plug wa hizi new balenciaga
  (new new looking fresh)
  New balenciaga
  me ni mtu wathii
  mtu wathii
  (soko soko soko)
  lazima look ikubali
  me ni mtu wathii
  mtu wathii
  (soko soko soko)
  lazima look ikubali
  ...
  verse one
  ...
  siezi toka kabla sijang'ara fiti,
  got to look nice ni impress hawa mabeauty
  (mashawty yeah)
  ku-kill look,
  God given duty
  cheki wakivunja shingo na sijadunga suti
  juu hadi chini niko fresh ka fruit
  clad so legit hadi maboys wanadi ku-loot
  awafanya watii hadi wapige salute
  swagg so deep unaeza trace hadi root
  ina
  ew look kila wiki
  drip on me haishikiki
  (drip drip finesse)
  soma label kitu oriji
  ka una chuki unaeza enda ujidishi
  TDMS, hiyo ndo gang wacha ubishi
  uliza wife
  mbona anadai kuchill na sisi
  atakushow
  i juu si huwanga litty
  might pull up to your spot
  a sweatpants za Gucci
  ...
  Hook
  ...
  Nilitoka shop, na my new balenciagas
  (new new looking fresh)
  New balenciaga
  Vokeh ndo my plug wa hizi new balenciaga
  (new new looking fresh)
  New balenciaga
  me ni mtu wathii
  mtu wathii
  (soko soko soko)
  lazima look ikubali
  me ni mtu wathii
  mtu wathii
  (soko soko soko)
  lazima look ikubali
  ...
  verse two
  ,,,
  chuja me hudunga sweep your girl off her feet
  my collection so vast and unique
  huwa sibongi sana I just let the sauce speak
  so to speak , ei
  ka ni wavey then naitaka na najua vile ntaipata kwanza najipanga kimkwanja the nacall Vokeh
  ka si wavey na unaitaka haina shida utaipata we jipange tu kimkwanja but si kwa Vokeh
  ye hudeal to na designer
  kila kitu huwa designer
  madesign za kila aina
  got me looking ever finer
  bro my swagg too sick na me ndo docky me ndo gyna
  ukidai connect wa clad
  bro me ndo Fibre
  me ndo her DP
  Whatsapp Twitter na Fivver
  ana crush on me
  Jah please guide her
  me si mtu mzuri
  I might just get inside her
  she fell inlove na the swagg
  tell me how can i blame her
  siwezi
  ...
  Hook
  ...
  Nilitoka shop, na my new balenciagas
  (new new looking fresh)
  New balenciaga
  Vokeh ndo my plug wa hizi new balenciaga
  (new new looking fresh)
  New balenciaga
  me ni mtu wathii
  mtu wathii
  (soko soko soko)
  lazima look ikubali
  me ni mtu wathii
  mtu wathii
  (soko soko soko)
  lazima look ikubali
  ...
  outro
  ...
  i be looking fresh and fab
  ew look got me fresh and fab *2
  i be looking
  ice
  i be feeling
  icer *2

  Category : Kenyan Videos

  #Tunji#Mtu Wathii#Kenya

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up