Loading the player...

Aliyewasafirisha Watekaji wa Mo Dewji Asimulia A Z ilivyokuwa

  • Aliyewasafirisha Watekaji wa Mo Dewji, Asimulia A-Z ilivyokuwa!!
    Nyumba inamodaiwa kufichwa Mohamed Dewji mara baada ya kutekwa Okotoba 11, 2018 katika Hoteli ya Colessium imegundulika na imeoneshwa leo na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa. Nyumba hiyo ipo Mbezi Beach, mtaa wa Mwansasu jijini Dar es salaam.
    Imeelezwa watekaji walipanga nyumba hiyo kwa dola 1500, walikuwa ni raia wa Afrika Kusini na kwamba Oktoba 20 baada ya kumuachia na kumtelekeza katika viwanja vya Gymkhana, vilivyopo maeneo ya Posta waliondoka katika jiji la dar kupitia kwa kutumia usafairi wa mabasi ya abiria.
    Dereva Taksi aitwae TWALIB MUSSA aliyetawafutia nyumba na kuwatembeza mjini, amekamatwa na ameongea mbele ya wanahabari kutoa ushuhuda wake kuhusu kutekwa kwa Mo Dewji..
    #MoDewji #Mambosasa
    SOURCE: Global Publisher

    Category : News & Politics

    #MO Dewji#Watekaji#Tanzania#Ben Saanane#Usalama#Human Rights Abuse

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up