Loading the player...

Paul Clement - Mwaminifu

 • Mungu hawezi kukuacha njiani alianza na wewe atamaliza na wewe. Anaangalia Neno lake ili apate kulitimiza. Yeye ni Mwaminifu wakati wote.
  Song: MWAMINIFU
  Artist: PAUL CLEMENT
  Audio: Fisher Records
  Dir: Director Joma
  Producer: Johbass
  Music: Mordens Music
  Lead Guitar: Emmanuel Gripa
  Bass Guitar: Johbass
  CONTACTS<10>Email:paul.clement246@gmail.com<11>fisherrecordstz@gmail.com
  Facebook:Paul clement
  Instagram: minister_paulclement
  LYRICS
  Una wasi wasi
  Hofu na mashaka
  Unahisi moyoni kama MUNGU kakuacha
  Maana unaona hausogei wala huendelei
  Uko palepale kila siku
  Uko vilevile X2
  MUNGU aliianzisha safari tena ataimaliza
  Maana alikujua kabla hujajijua kabla hujazaliwa
  MUNGU hawezi kukuacha njiani
  Safari yako aliianzisha mwenyewe
  Asingetaka angekuacha mwanzoni
  Unakokwenda yeye anajua X4
  Atainyosha njia yako X2
  Ina mabonde kweli
  Ina vikwazo vingi
  Atainyoosha njia yako

  Category : Gospel Videos

  #Paul Clement#Mwaminifu#Gospel

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up