Loading the player...

Diamond Platnumz Aishutumu BASATA Kwa Kumfungia

  • Diamond Platnumz Aishutumu BASATA Kwa Kumfungia kufanya maonyesho ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana. Uamuzi huo wa kufungiwa Diamond Platnumz na msanii mwenzake Rayvanny, umetokana na madai ya BASATI kuwa wasanii hao wamepuuza agizo lao kuifungia nyimbo ya Mwanza (Nyegezi) wanayodai ina maudhui machafu yalikosa maadili ya kitanzania.

    Category : News & Politics

    #Diamond#Rayvanny#Mwanza#Nyegezi#BASATA#Kufungiwa#Tanzania#Afrika Mashariki

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up