Loading the player...
 • Audio Produced by s2kizzy
  Video Directed by Joma [HANSCANA BRAND]
  For more info ,Email <3>{oneby45@gmail.com}
  www.instagram.com/fobyofficial
  www.twitter.com/fobyofficial
  Call +255658193998 ,+255786854732
  *Foby - Uno Lyrics*
  *Verse 1....*
  Napandisha mikono
  Dhidi yako mama
  Unavyokwecha uno
  Nishameshaungama
  Vululu vululu x3
  Umenivuruga sielewi
  Nipelekwe hospiatli
  Nikichezea kipondo
  Lazima alazwe chali
  Nitalii kisondo
  Nipigwe makabali
  Sikaachi kando
  Na ntamapalika pali
  Niziache ndondo
  *Chorus*
  Uno uno
  Utamu kiuno mama
  Uno uno
  Kiuno
  Unooo unooo
  Kitepete Ndembendembe
  Uno uno
  *Verse 2....*
  Sema dada sema
  Umeionaje ile show
  Mi si mwanaume wa dar
  Nitaletaje ubishoo
  Kama vipi ngoma ziwaa
  Ziwambwe
  Watoto wakali walaa
  Walambwe
  eti ngoma isaa
  Isambeee
  Na watu tutaa
  Tutambe
  Nipelekwe hospiatli
  Nikichezea kipondo
  Lazima alazwe chali
  Nitalii kisondo
  Nipigwe makabali
  Sikaachi kando
  Na ntamapalika pali
  Niziache ndondo
  *Chorus*
  Uno uno
  Utamu kiuno mama
  Uno uno
  Kiuno
  Unooo unooo
  Kitepete Ndembendembe
  Uno uno
  *Song - Uno*
  *Artist - Foby*
  *Producer - S2kizzy*

  Category : Bongo Flava Videos

  #Foby#Uno#Bongo Flava

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up