Loading the player...

Tundu Lissu Amfunika Balozi wa Tanzania Marekani, Wilson Masilingi Kwenye Staright Talk Africa

 • Mbunge wa Singida Mjini nchini Tanzania, Tundu Lissu ambaye yuko kwenye ziara ya vyombo vya habari mbalimbali duniani, amemfunika vibaya kwa hoja Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi walipokutana uso kwa uso kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kinachoendeshwa na Shaka Ssali wa Voice of America mjini Washington, DC.
  Katika kipindi hicho ambacho kilikuwa kinazungumzia Uhuru wa Kujieleza katika mataifa mbalimbali ya Africa pia kilimjumuisha mwanamuziki wa Uganda ambaye pia ni mwanaharakati na mbunge, Bobi Wine.
  Tundu Lissu ambaye alinusurika jaribio la kutaka kuuawa baada ya kupigwa risasi 16 mwilini katika mji mkuu wa Tanzania, Dodoma. Mpaka hivi sasa, Tundu Lissu ameshafanyiwa upasuaji mara 22.
  Originally posted at www.voanews.com/a/4775553.html

  Category : News & Politics

  #tundu#lissu#amfunika#balozi#wa#tanzania#marekani#wilson#masilingi#kwenye#staright#talk#africa

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up