Loading the player...

Mkutano wa Tundu Lissu Washington DC - Sehemu ya Tatu

  • Hii ni Sehemu ya Tatu ya kati ya Nne ya ambayo ni ya mwisho ya Mkutano wa Mwanasheria wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Mughwai Lissu, Siku ya Jumamosi Feb 9, alipata fursa ya kuongea na Watanzania, Jijini Washington DC
    SOURCE: Swahili Villa

    Category : News & Politics

    #mkutano#wa#tundu#lissu#washington#dc#sehemu#ya#tatu

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up