Loading the player...

Maryjane Ferdinand - Ni heri nipate kidogo (Official Video Lyrics)

  • Itanifaa nini mimi, nipate maghorofa marefu au ulimwengu mzima halafu nikukose wewe Yesu wangu? Ni heri nipate kidogo nisikuache wewe Yesu wangu. Ni maneno mazuri yaliyo katika wimbo huu wa Maryjane Ferdinand. Karibu sana kusikiliza, usisahau kuacha subscribe, comment na like katika akaunti hii. Ubarikiwe

    Category : Gospel (mp3)

    #maryjane#ferdinand#ni#heri#nipate#kidogo#official#video#lyrics

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up