Loading the player...

Mwandei Feat. Dr John - Raha Baikoko

 • VIDEO - Raha baikoko ni wimbo uloimbwa na msani MWANDEI unaopatikana kwenye Albam yake inayoitwa MNIKOME wenye maadhi ya pwani ambao umeboreshwa kutoka kwenye ngoma ya asili iitwayo BAIKOKO inayopendwa sana kwa sasa duniani. Wimbo umerekodiwa kwenye studio za AKILI STUDIO chini mtayarishaji DANNY na kurekodiwa na kampuni ya CHIEE MEDIA zote za Jijini TANGA
  ALBAM YA MNIKOME IMEJUMUISHA NYIMBO TANO MATAT SANA
  DOWNLOAD AUDIO HAPA
  drive.google.com/open?id=1Lmz...
  KAMA UNATAKA UWAKALA WA KUUZA ALBAM HII PIGA SIMU NAMBA +255654320090

  Category : Mduara Videos

  #Mwandei#Dr John#Raha Baikoko#Tanga#Mduara

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up