Loading the player...

Vioja na Viroja 13.02.11

  • Kuna watu ambao hufanya vitu vya kutisha wakati mwingine ili kujaribu kuvunja rekodi kitaifa au hata kimataifa. Katika mkusanyiko wa matukio ya kustaajabisha ulimwenguni, peter moss leo anaanzia kule malawi ambapo kutoa hewa hadharani kumepigwa marufuku. Ni makala ya Vioja na Viroja na Peter Moss.

    Category : Comedy

    #vioja#na#viroja#13#02#11

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up