Loading the player...

Mwanamke Wa Kisomali Azua Vioja Mahakamani

  • Mwanamke mmoja mwenye asili ya Kisomali alizua kizaazaa katika mahakama ya Mombasa na kutatiza shughuli kwa muda.
    Mwanamke aliyefikishwa mahakamani kwa shutma za kuwa humu nchini kinyume na sheria alionekana akivutana na maafisa wa usalama akitaka kurejeshwa nchini Somalia.Victor Wetende anatusimulia kioja hicho.

    Category : Comedy

    #mwanamke#wa#kisomali#azua#vioja#mahakamani

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up