Loading the player...

Foby ft Barnaba - Twende

 • #Twende ni wimbo unaohusiana na Mahusiano ya wapenzi wawili, Unaoeleza Kuhusu Kuimarisha Penzi bila kuhofu Maneno wala vitisho wala kujali hali ya kifedha,
  Audio produced by InternationalBeats
  Mastered by Lizer classic
  Video directed by Hanscana
  #Foby #Twende #Barnaba #Music #Africa
  For more info ,Email <6>{oneby45@gmail.com}
  www.instagram.com/fobyofficial
  www.twitter.com/fobyofficial
  *Twende Lyrics Foby ft Barnaba*
  *Verse 1...*
  *Foby*
  Moja moja Mimi nawe
  Mpaka kule tunakotaka tufike
  Kama vihoja kupigwa mawe
  Vimeshafanywa nusura tukomoke
  Kisoja soja tubebane
  Zamu zamu tunakoenda tufike
  Vigorogoja vizozane
  Hamu hamu yakutuponda
  Itoke
  Nimeridhishwa na penzi
  Lako mama
  Japo vichenji chenji
  Vyetu ni vya ngama
  Uzuri ni kitu gani
  Tabia ndo inamata
  Na ujuzi ndani
  Kwani kuna shida gani
  Kukumbata
  Mtoto mwenye milki uwani
  Nimeridhishwa na penzi
  Lako mamaa
  Japo vichenji chinji
  Vyetu ni vya ngama
  *Chorus....*
  Ohhh baby
  twende
  Mimi nawe
  Twende
  Usigeuke Nyuma
  Twende
  Oohh baby
  Twende
  Ohhh baby
  twende
  Mimi nawe
  Twende
  Usigeuke Nyuma
  Twende
  Hata wakikushikaaa
  Twende
  *Verse 2....*
  *Barnaba*
  Njugu karanga
  (Follow me follow me)
  Sindimba au vanga
  (Follow me follow me)
  Ona vya vyanga
  (Follow me follow me)
  Nishike bega
  (Follow me follow me)
  Twende sambamba
  (Follow me follow me)
  Kifua saa sita magarita
  Haujaniita naitika baby
  Uzuri ni kitu gani
  Tabia ndo inamata
  Na ujuzi ndani
  Kwani kuna shida gani
  Kukumbata
  Mtoto mwenye milki uwani
  Nimeridhishwa na penzi
  Lako mamaa
  Japo vichenji chinji
  Vyetu ni vya ngama
  *Chorus....*
  Ohhh baby
  twende
  Mimi nawe
  Twende
  Usigeuke Nyuma
  Twende
  Oohh baby
  Twende
  Ohhh baby
  twende
  Mimi nawe
  Twende
  Usigeuke Nyuma
  Twende
  Hata wakikushikaaa
  Twende
  *Artist - Foby ft Barnaba*
  *Producer - International Beatz*
  *Studio - C9 Records*
  *Mastering - Lizer*
  *Thanks God*
  Video directed by Hanscana

  Category : Bongo Flava Videos

  #Foby#Barnaba#Twende

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up