Loading the player...

SUDAN 1-2 TANZANIA: FULL HIGHLIGHTS (CHAN QUALIFIER – 18/10/2019)

 • Tanzania imefuzu fainali za Mataifa Bingwa barani Afrika (CHAN) mwaka 2020 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009.
  Hatua hiyo ni baada ya kushinda mabao 2-1 dhidi ya Sudan na kufuzu kwa faida ya goli la ugenini.
  Magoli ya Tanzania kwenye mchezo wa leo yamefungwa na Erasto Nyoni dakika ya 49 na Ditram Nchimbi dakika ya 78.

  Category : Sports & Events

  #sudan#1#2#tanzania#full#highlights#chan#qualifier#ndash#18#10#2019

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up