Loading the player...

MAGOLI: SUDAN 1-2 TANZANIA (KUFUZU CHAN 2020 - 18/10/2019)

 • #BreakingNews Tanzania yafuzu fainali za CHAN mwaka 2020 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009. Ni baada ya kushinda 2-1 dhidi ya Sudan na kufuzu kwa faida ya goli la ugenini.
  Magoli ya Tanzania kwenye mchezo wa leo yamefungwa na Erasto Nyoni dakika ya 49 na Ditram Nchimbi dakika ya 78.
  FT | Sudan 1-2 Tanzania (Agg: 2-2)
  Toa maoni yako.

  Category : Sports & Events

  #magoli#sudan#1#2#tanzania#kufuzu#chan#2020#18#10#2019

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up