Include this script into your page along with the iframe for a responsive media embed
Rhino king na Bi Aisha ni kwa mara ya kwanza wanafanya Kazi pamoja. Wote ni wasaniii kutoka katika Label za muziki mbili tofauti. RHINO yuko chini ya KWETU STUDIOS akiunda kundi la THE MAFIK na BI AISHA ni msanii kutoka Label ya LAST BORN. Wanakukaribisha kutazama na kusikiliza nyimbo yao inayoitwa SHOW ME LOVE ikiwa na maana nionyeshe upendo. Video directed by KWETU STUDIOS Audio produced by FRAGA EMAIL /BOOKINGS<5>@zeekwetustudios@gmail.com<6>@bookthemafik@gmail.com<7>@djcastz@gmail.com TEL- +255 716 161265 -+255 623 889248 SOCIAL MEDIA @rhinoking_ @bi__aisha