Loading the player...

Dragon - Chomeka (Official Music Video)

 • "CHOMEKA" PROJECT created by super talented people:Artist-Dragon Voice, Audio produced by trone mixed by Lizer Video directed by S.AM
  For bookings :waleo2016@gmail.com
  Instagram:www.instagram.com/official_dr...
  LYRICS
  INTRO..
  (mouth piano box)
  Chorus:
  Chomeka, kama kole katika, sambasolt binuka, kama puto pasuka. X2
  VERSE 1:
  Let me do , let me do yah
  Let me do, le me do let me do let do yah
  You are my boo, your my boo
  Your my boo come closer I wana hold yah!
  Sing'atuki tunagandana
  Cheki mpaka sura zinafanana,
  Eya!
  Tunda langu usije litoa,
  Changanya miguu cheza pauwa,
  Slow slow baby nipe kwa ivi
  Ayaya,,yani mtoto mzuri ee..
  BRIDGE.:
  Tunaelewana, tumeshashibana
  Yani penzi kama kamba tumeshafungana
  CHORUS.:
  Chomeka, kama kole katika
  sambasolt binuka, kama puto pasuka(x4)
  VERSE..2
  Yani kachiri saga aaga, kachiri saga...
  Kwenye penzi sina woga, oo sina woga
  Nakanyaga kinaga ubaga,kinaga ubaga baga baga !!
  Uno la kichaga linavunja chaga!
  Ukilicheza vanga unanichanganyaga!
  Oouoo napanda kichaa unavyozungusha kama mshale wa saa..
  Ooo!! natamani nikueke password,,password!!
  ubaki kwangu so spashel,, spashel!!
  Au tuhamie mars..oo mars oo mars
  Yeeya!
  Tunda langu usije litoa,
  Changanya miguu cheza pauwa
  Slow slow baby nipe kwa ivi..ayaya
  yani mtoto mzuri ee!!
  BRDGE: and then CHORUS
  .......Thanks enjoy good music......
  xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

  Category : Bongo Flava Videos

  #Dragon#Chomeka

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up