Loading the player...

Z Anto - Nichape (Official Video)

 • Nichape Love song kutoka kwa Z Anto video inamuonesha aliyekuwa mke wake wa ndoa Sandra Khan (Binti kiziwi ) baada ya kutoka kutumikia kifungo Nchini China, Nichape inazungumzia Mwanaume aliyempa nafasi Mpenzi wake na ridhaa juu ya Maisha yao kuwa amfanye atakacho ktk mapenz kwa jinsi anavyompenda.
  Audio: imetengenezwa na BLAZA na Mazuu
  Video: imefanyika Tanzania chini ya Kwetu Studios.
  Instagram : @z_antoofficial
  Facebook : Anto Malavdav
  Twiter : zantoofficial

  Category : Bongo Flava Videos

  #Z Anto#Nichape

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up