Loading the player...

Ifahamu Dawa Mpya ya Coronavirus Inayoitwa Remdesivir

  • Katika makala yetu ya leo ndani ya Bongo Radio, tunazungumzia dawa mpya ya kutibu Coronavirus inayoitwa Remdesivir ambayo imepewa kibali cha dharula na serikali ya Marekani ili iweze kutumiwa na madaktari kutibia wagonjwa wa Coronavirus. Dawa hiyo inayotengenezwa na kampuni ya madawa ya Gilead Sciences, Inc. kutoka mji wa Foster City, California.

    Category : News & Politics

    #ifahamu#dawa#mpya#ya#coronavirus#inayoitwa#remdesivir

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up