Loading the player...

Nyota Ndogo - Je Wewe (Official Music Video)Sms SKIZA followed by 7913689 to 811

 • #NyotaNdogo #JeWewe #Ngomma
  Lyrics Written and Performed by: Nyota Ndogo (@Nyota Ndogo)
  Music Produced by: Amz
  Video Directed by: Darker Berry Films
  Follow Nyota Ndogo on Socials:
  www.instagram.com/nyota_ndogo
  www.facebook.com/nyotandogo001
  Lyrics:
  Unaweza kupenda mtu, nae asikupende
  Ndio majaaliwa ya moyo kupenda
  Huezi kusema hautapenda na haujakufa
  (Kupenda, Kupenda ni moyo) ×4
  Je Wewe? ×7
  Hakuna mwanadamu ambaye hajaumizwa
  Naa, Hakuna mwanadamu ambaye hajalizwaa
  Hakuna mwanadamu ambaye hajalizwa
  Naa, Hakuna mwanadamu ambaye hajaumizwaa
  Unasema No! No! No! No! No! Sitaki kupendwa tena Mie
  Nimechoshwa mie
  Unasema No! No! No! No! No! Sitaki kupendwa tena
  Nimenyanyaswa Mie
  (Kupenda, Kupenda ni moyo) ×4
  Je Wewe? ×7
  Huu moyoo, leo unakubali kesho unakataa
  Moyo
  Huu moyoo, leo unakubali kesho unakataa
  Moyo, Moyo, Moyo
  Utasema No! No! No! No! No! Sitaki kupendwa tena Mie
  Nimechoshwa mie
  Utasema No! No! No! No! No! Sitaki kupendwa tena
  Nimenyanyaswa Mie
  Je Wewe? ×7

  Category : Kenyan Videos

  #nyota#ndogo#je#wewe#official#music#video#sms#skiza#7913689#811

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up