Loading the player...

#MadeinTanzania Kiwanda Kinachotengeneza Jeans kwa Ubora wa Kimataifa na kuuza Nchini Marekani

 • Team ya #MadeinTanzania show baada ya kubaini chimbo linalozalisha Jeans Nchini limefunga safari na kwenda kucheck infos kamili katika namna ambavyo kiwanda hichi kimeweza kutengeneza Jeans katika Quality nzuri na kuuza Jeans nje ya Nchi kwenda kwa wateja wake nchini Marekani.
  Usikose kufuatilia Made in Tz Show katika Clouds TV
  Kila Jumatano saa 2 na Nusu Usiku:
  Kila Jumapili saa 1 Jioni (Marudio).
  SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

  Category : People & Blogs

  #madeintanzania#kiwanda#kinachotengeneza#jeans#kwa#ubora#wa#kimataifa#na#kuuza#nchini#marekani

  0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up