Bongo Radio Throwback Monday Show June 19th 2014 (C)Ngomanagwa

  • Hii hapa Show ya Jana kwa Walioikosa. Dk 30 za Kwanza zilikuwa Dedicated to Vichwa Viwili tulivyopoteza "Ngwair na Langa" Walikuwa wametimiza Mwaka 1 Tangu watutoke, R.I.P Pia kuna Bongo Session , Throwback Hip hop, Oldskool R&B Jams and Carribean Vibe. Enjoy and Stay Blessed.

    Category : DJ Mixtapes (mp3)

    #Ngomanagwa#Throwback#Monday#Show#Bongo#Radio

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up