Loading the player...

Rais Magufuli ataka korosho isishuke elfu 3 kwa kilo

  • Rais John Magufuli amewataka wafanyabiashara wa korosho kuhakikisha wananunua zao hilo kwa bei isiyopungua shilingi elfu tatu kwa kilo moja na iwapo watashindwa kuafiki bei hiyo Serikali itanunua zao hilo kwa wakulima na kisha kutafuta soko litakalokuwa na bei nzuri zaidi.

    Category : News & Politics

    #rais#magufuli#ataka#korosho#isishuke#elfu#3#kwa#kilo

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up