Hii ni Throwback show ya leo, samahani mic haikuwa nzuei ila show iliendelea. Show hii hapa Feb 27th 2012.
Usiku wa tarehe 24 dec 2011,Pale mbeya mjini kwenye viwanja vya Sokoine ,Mvua kubwa ilinyesha na haikuwa tatizo kwa wakazi wa mbeya kuja na kushuhudia show ya ANTIVIRUS.Watu walich