Utamu wa keki - Hakimu matona
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mmiliki wa IPTL, Harbinder Seth na mwenzake hadi July 19,2018 kwa sababu upelelezi haujakamilika.
21/03/2012 wasanii wanaojulikana kwa kutetea muziki wa bongofleva dhidi ya unyionyaji,,mapacha na vinega wengine kibao walikutana saa 7 mchana pale mahakama ya hakimu mkazi kisutu