track safi sana jamaa wanaongea ukweli si kizembe lamar kwa mara nyingine tena amenyonga hii biti nature kakandamizakwenye kiitikio jamaa wamakaza kisawa.FUCK WAZAMIAJI
bob marley leo nimeamka vyema wajomba ndo nawapa track za zama hizo
mwanachemba wa ukweli
pini toka kwa mwanachemba chamber squad east zoo
banging it hii ndo ilikuwa michano
white boy is sick mayne,he is killin it
SUMMER BUNNIES - R.KELLY FT AALIYAH
ladies first jibaba umesikia hii ya kale
ADMN,KIFUA CHUMA ,KIDO ,JIBABA ,DINAH ,JPHAMBER& MSHITAKIWA HII VIPI???
Makame Faki akikamuaa kwa Uwezoo.. Vitu vya Nanihii Kule!! Ukisikilia hili tune basi Noa mikono as Mnuso full Flengwaaa.. Jibaba Tega sikioo