kama unaamua kuchagua chagua aliyenona hayo si maneno yangu ni ardo na wenzake.mkono wa kulia nimeshika bia mkono wa kushoto nimekumbatia.....ni party
Nililazima kufanya hii track ya bongo hip hop kutokana na mibalaa ya cellphone huku nikipewa shavu na chingaboi.sikiliza niambie inakuwaje.